Hili hapa tangazo lililo tolewa siku ya leo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili afya, walimu na kada zingine Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 13/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo
Maelezo kwa wasailiwa
- Fika siku ya usaili ukiwa na barakoa na kitambulisho halali (NIDA, kura, uraia, kazi, leseni ya udereva, pasipoti au barua ya serikali ya mtaa/kijiji).
- Leta vyeti halisi (kuzaliwa, elimu – Kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Shahada n.k.) kulingana na sifa ya kada uliyoiomba.
- Testimonials, provisional results, statement of results na result slips za Kidato cha IV & VI hazitakubaliwa.
- Gharama za chakula, usafiri na malazi ni za msailiwa mwenyewe.
- Waliomaliza masomo nje ya nchi wahakikishe vyeti vimehakikiwa na TCU, NACTVET au NECTA.
- Kwa kada zinazohitaji usajili wa kitaaluma, leta vyeti halisi vya usajili na leseni ya kazi.
- Ingia kwenye akaunti yako ya Ajira Portal ili kunakili namba ya mtihani kabla ya siku ya usaili.
- Wenye majina yanayotofautiana kwenye nyaraka wawasilishe Deed Poll iliyosajiliwa.
Kwa wanafunzi:
Ratiba ya Usaili wa Mchujo
| Mwajiri | Kada | Tarehe ya Usaili | Mahali |
|---|---|---|---|
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La IIIC (Kemia) | 2025-12-13 07:00 | Mtandaoni (Online) – Kupitia akaunti ya Ajira Portal na tovuti ya Sekretarieti |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La III B (Kemia) | 2025-12-13 07:00 | Mtandaoni (Online) |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La IIIC (Baiolojia) | 2025-12-14 07:00 | Mtandaoni (Online) |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La IIIA (Teacher Grade IIIA) | 2025-12-20–21 07:00 | Mtandaoni (Online) – Siku 2 |
Ratiba ya Usaili wa Mahojiano
| Mwajiri | Kada | Tarehe ya Usaili | Mahali |
|---|---|---|---|
| MDAs & LGAs | Msaidizi Wa Hesabu Daraja La II | 2025-12-16 07:00 | Mikoa yote + Vituo maalum Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Afisa Muuguzi Msaidizi II | 2025-12-16 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Afisa Muuguzi Daraja La II | 2025-12-17 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Daktari Daraja La II | 2025-12-17 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mfamasia Daraja La II | 2025-12-17 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La IIIC (Kemia) | 2025-12-17 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La III B (Kemia) | 2025-12-17 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La III B – Hisabati | 2025-12-17 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Fundi Sanifu Daraja La II – Kilimo | 2025-12-18 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La III B – Kilimo | 2025-12-18 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La IIIC (Baiolojia) | 2025-12-18 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La III C – Somo La Biashara | 2025-12-18 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Tabibu Daraja La II | 2025-12-19 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La IIIC (Fizikia) | 2025-12-19 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La III C – Hisabati | 2025-12-19 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja La II | 2025-12-22 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
| MDAs & LGAs | Mwalimu Daraja La IIIA | 2025-12-23 07:00 | Mikoa yote + Unguja & Pemba |
Soma zaidi:


Leave a Reply
View Comments