Matokeo ya Darasa la Saba 2026 NECTA ni miongoni mwa matokeo yanayosubiriwa na wanafunzi, wazazi na walezi nchini Tanzania. Kupitia matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Primary School Leaving Examination – PSLE), wanafunzi wataweza kuona matokeo yao kwa kutumia majina ya shule au kuchagua mkoa husika.
Bonyeza hapa kuona matokeo Darasa la Saba 2026 NECTA Angalia hapa yashatangazwa
Katika ukurasa huu, unaweza kupata orodha ya mikoa yote ya Tanzania ambayo matokeo ya Darasa la Saba 2026 yatapatikana mara baada ya kutangazwa rasmi na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
Matokeo ya Darasa la Saba 2026 NECTA Shule Zote
Ili kuangalia matokeo ya shule zote, chagua mkoa ambao shule yako ipo. Orodha ya mikoa imepangwa hapa chini ili kurahisisha upatikanaji wa matokeo.
Orodha ya Mikoa ya Kuangalia Matokeo ya PSLE 2026
| ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
| IRINGA | KAGERA | KIGOMA |
| KILIMANJARO | LINDI | MARA |
| MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
| MWANZA | PWANI | RUKWA |
| RUVUMA | SHINYANGA | SINGIDA |
| TABORA | TANGA | MANYARA |
| GEITA | KATAVI | NJOMBE |
| SIMIYU | SONGWE |
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba 2026 NECTA
Baada ya NECTA kutangaza matokeo rasmi, fuata hatua hizi:
- Tembelea tovuti rasmi ya NECTA: https://www.necta.go.tz
- Tafuta sehemu ya Results.
- Chagua PSLE.
- Chagua mwaka 2026.
- Chagua mkoa husika.
- Tafuta wilaya na shule unayotaka kuona matokeo yake.
Taarifa Muhimu Kuhusu Matokeo ya PSLE 2026
Matokeo ya Darasa la Saba 2026 yanahusu wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE). Wanafunzi na wazazi wanashauriwa kutumia tovuti rasmi ya NECTA kupata taarifa sahihi na kuepuka kutegemea taarifa zisizothibitishwa.
Angalizo: Viungo vya matokeo ya kila mkoa na shule vitaweza kuongezwa baada ya NECTA kuweka matokeo rasmi kwenye mfumo wake.
Soma zaidi: NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2026: Yatatangazwa Novemba 3, 2026




Leave a Reply
View Comments