Walioitwa kwenye Usaili Afya na Walimu na Kada nyingine MDAs & LGAs 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo lililo tolewa siku ya leo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili afya, walimu na kada zingine Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 13/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo

Maelezo kwa wasailiwa

  1. Fika siku ya usaili ukiwa na barakoa na kitambulisho halali (NIDA, kura, uraia, kazi, leseni ya udereva, pasipoti au barua ya serikali ya mtaa/kijiji).
  2. Leta vyeti halisi (kuzaliwa, elimu – Kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Shahada n.k.) kulingana na sifa ya kada uliyoiomba.
  3. Testimonials, provisional results, statement of results na result slips za Kidato cha IV & VI hazitakubaliwa.
  4. Gharama za chakula, usafiri na malazi ni za msailiwa mwenyewe.
  5. Waliomaliza masomo nje ya nchi wahakikishe vyeti vimehakikiwa na TCU, NACTVET au NECTA.
  6. Kwa kada zinazohitaji usajili wa kitaaluma, leta vyeti halisi vya usajili na leseni ya kazi.
  7. Ingia kwenye akaunti yako ya Ajira Portal ili kunakili namba ya mtihani kabla ya siku ya usaili.
  8. Wenye majina yanayotofautiana kwenye nyaraka wawasilishe Deed Poll iliyosajiliwa.

Kwa wanafunzi:

Ratiba ya Usaili wa Mchujo

MwajiriKadaTarehe ya UsailiMahali
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La IIIC (Kemia)2025-12-13 07:00Mtandaoni (Online) – Kupitia akaunti ya Ajira Portal na tovuti ya Sekretarieti
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La III B (Kemia)2025-12-13 07:00Mtandaoni (Online)
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La IIIC (Baiolojia)2025-12-14 07:00Mtandaoni (Online)
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La IIIA (Teacher Grade IIIA)2025-12-20–21 07:00Mtandaoni (Online) – Siku 2

Bonyeza hapa kudownload PDF

Ratiba ya Usaili wa Mahojiano

MwajiriKadaTarehe ya UsailiMahali
MDAs & LGAsMsaidizi Wa Hesabu Daraja La II2025-12-16 07:00Mikoa yote + Vituo maalum Unguja & Pemba
MDAs & LGAsAfisa Muuguzi Msaidizi II2025-12-16 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsAfisa Muuguzi Daraja La II2025-12-17 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsDaktari Daraja La II2025-12-17 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMfamasia Daraja La II2025-12-17 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La IIIC (Kemia)2025-12-17 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La III B (Kemia)2025-12-17 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La III B – Hisabati2025-12-17 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsFundi Sanifu Daraja La II – Kilimo2025-12-18 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La III B – Kilimo2025-12-18 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La IIIC (Baiolojia)2025-12-18 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La III C – Somo La Biashara2025-12-18 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsTabibu Daraja La II2025-12-19 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La IIIC (Fizikia)2025-12-19 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La III C – Hisabati2025-12-19 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsAfisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja La II2025-12-22 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba
MDAs & LGAsMwalimu Daraja La IIIA2025-12-23 07:00Mikoa yote + Unguja & Pemba

Soma zaidi: