Kozi za Muda Mfupi VETA Kipawa (KICT) 2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa waliochaguliwa kidato cha tano 2026, Matokeo ya kidato cha sita 2026 kujiunga na vyuo, nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Orodha kamili ya kozi za muda mfupi zinazotolewa na Chuo cha TEHAMA Kipawa (VETA Kipawa) 2026, muda wa mafunzo, ada na mawasiliano ya chuo.

Bonyeza hapa kutuma maombi Chuo cha VETA Kipawa

Chuo cha TEHAMA Kipawa (KICT) chini ya VETA Kipawa kimefungua mafunzo ya muda mfupi kwa mwaka 2026. Kozi hizi zinahusisha TEHAMA, mitandao, mechatronics, udereva, umeme, CCTV, simu, digital marketing na nyingine nyingi zenye mahitaji makubwa kwenye soko la ajira.

Mawasiliano ya Chuo

  • Chuo: VETA Kipawa – Chuo cha TEHAMA (KICT)
  • Mahali: Kipawa, Dar es Salaam
  • Simu: 0714 720 381
  • Barua pepe: kiict@veta.go.tz

Kozi za Udereva

KoziMudaAda (TSh)
Udereva wa Awali (Class D)Wiki 6270,000
Udereva wa Abiria (Class C1, C2, C3)Wiki 2270,000
Udereva wa Mizigo (Class E)Wiki 6370,000

Kozi za TEHAMA na Mitandao

KoziMudaAda (TSh)
Computer ApplicationWiki 4220,000
Graphics Design & Video ProductionWiki 6315,000
Computer Repair & MaintenanceWiki 4145,000
Network EssentialsWiki 4210,000
Network Management & Server ConfigurationWiki 4220,000
Database ProficiencyWiki 2145,000
Data Entry & ManagementWiki 295,000
Digital MarketingWiki 4245,000
Radio & TV BroadcastingWiki 8475,000

Kozi za Mechatronics

KoziMudaAda (TSh)
Basic MechatronicsWiki 2150,000
Intermediate MechatronicsWiki 2150,000
Advanced MechatronicsWiki 4250,000

Kozi za Umeme na Elektroniki

KoziMudaAda (TSh)
Electrical Installation for BeginnersWiki 6245,000
Electrical Installation IntermediateWiki 6245,000
Electrical AdvancedWiki 6315,000
Fundamental ElectronicsWiki 4295,000
Programmable Logic Controller (PLC)Wiki 8545,000

Kozi za Simu na Magari

KoziMudaAda (TSh)
Basic Mobile Phone TechnicianWiki 4145,000
Intermediate Mobile Phone TechnicianWiki 6195,000
Advanced Mobile Phone TechnicianWiki 2115,000
Auto DiagnosisWiki 4250,000
Auto Electrical for BeginnersWiki 5240,000

Kozi za Biashara na Ujuzi wa Ofisi

KoziMudaAda (TSh)
IT Skills for SecretariesWiki 3295,000
Professional Presentation SkillsWiki 145,000
Event PlanningWiki 295,000
Business PlanWiki 295,000
English for BusinessWiki 495,000
Customer CareWiki 2145,000

Kozi ya CCTV

KoziMudaAda (TSh)
CCTV Camera InstallationWiki 4300,000

Kozi Zinazofaa Kwa Ajira Haraka

Baadhi ya kozi zenye mahitaji makubwa kwenye soko la ajira ni:

  • Computer Application
  • Graphics Design & Video Production
  • Network Management
  • Digital Marketing
  • CCTV Camera Installation
  • Auto Diagnosis
  • Electrical Installation
  • Udereva wa Awali na Udereva wa Mizigo

Hitimisho

VETA Kipawa inatoa zaidi ya 30 za muda mfupi zenye muda wa kuanzia wiki 1 hadi wiki 8 na ada kuanzia TSh 45,000 hadi TSh 545,000. Mafunzo haya yanafaa kwa vijana, wafanyakazi na wajasiriamali wanaotaka kuongeza ujuzi wa kitaaluma mwaka 2026.

Soma zaidi: NACTVET Yaongeza Muda wa Maombi ya CAS Awamu ya Tatu Hadi 1 Oktoba 2026